Audio

Download Audio: Fidelis Njocomeon – Kindumbwe Ndumbwe

Kutoka jijini Dar es salaam leo tumekusogezea wimbo uitwao Kindumbwe Ndumbwe kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili Fidelis Njokomeon, wimbo ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Combination Sound chini ya mikono ya prodyuza mahiri Man Walter.

Kindumbwe ndumbwe ni wimbo uliojaa mafundisho kweli kweli yanayogusa maisha yetu halisi ya siku za leo katika jamii, familia zetu na hata kwenye huduma zetu za kiroho mwimbaji Fidelis Njokomeon amjitahidi kuzungumzia mambo mengi sana ambayo ni hakika ndiyo yanayotendeka sana kwenye jamii zetu na kutukumbusha kutoendelea kuyafanya mambo hayo kwakuwa yanaharibu jamii na huduma zetu za kiroho kama vile wachungaji na waumini wanaofanya mambo yasiyofaa kanisani na kupekelekea kukoseana kwa uwepo wa Mungu ambao ndio tunaouhitaji zaidi katika maisha yetu.

Hakika ni huu ni wimbo ambao utakubariki sana kupitia jumbe mbalimbali zilizo katika wimbo huu zitakazokufunza na kukubadilisha kabisa na kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Fidelis Njocomeon kupitia:
WhatsApp: +255 756 500 533
Facebook: Fidelis Njokomeon
Instagram: @njokomeon

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Audio Music: Enea Mahenge - Nina Deni

Next post

Tazama Video | Download Audio Music: Ringtone Feat Gloria Muliro - Wacha Iwe