Nyimbo

Download Audio: Ester Mulokozi – Uachiapo Baraka

Kutoka jijini Arusha Tanzana leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia.com muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Ester Mulokozi anakukaribisha kusikiliza wimbo wake mpya unaoitwa Uachiapo Baraka.

Karibu usikilize na upakue wimbo huu na hakika utakuwa wa baraka sana kwako na kwa wengine utakaoweza kuwashirikisha wimbo huu. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Ester Mulokozi kupitia
Simu/WhatsApp: +255 767 528 679, +255 713 817 019
Facebook: Ester Mulokozi
Instagram: @estermulokozitz

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Muimbaji Beatrice Kitauli Ageukia Tasnia ya Comedian

Next post

Download Audio: Frank Mjuni - Ainuliwe