Audio

Download Audio: Elizabeth Eliya – Yesu Wastahili Sifa

Muimbaji Elizabeth Eliya kutoka mjini Lindi leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia.com anakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo wake mpya uitwao Yesu Anastahili Sifa ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Mzawa chini ya usimamizi wa mikono ya producer Daudi Kiloba.

Kwa moyo mkunjufu! gospomedia.com inakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu kutoka kwa muimbaji Elizabeth Eliya na hakika utabarikiwa. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Elizabeth Eliya kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 625 612 922 au +255 712 651 064
E-mail: elizabetyeliya@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Fahamu Jinsi Ya Kumfundisha Mtoto Wako

Next post

Tazama Video | Download Audio: Eddah Mwampagama - Ni Salama