Nyimbo

Download Audio: Dorcas Japhet – Nakupa Moyo

Kutoka jijini Dar es salaam, kupitia blog yako pendwa tumekusogezea wimbo mpya uitwao Nakupa Moyo kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Dorcas Japhet.

Wimbo huu umetayaarishwa ndani ya studio ya Enzi Records chini ya usimamizi wa producer Amzy kutoka Dar es salaam.

gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao hakika utakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Dorcas Japhet kupitia:
Simu namba/WhatsApp: +255 759 645 846/+255 655 605 221
Facebook: Dorcas Japhet
Instagram: @dorcasjaphetofficialtz
E-mail: pdorcas555@gmail.com

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Audio: Godwin Praize Feat Rose - Power of Prayer(Barua Kwa Baba)

Next post

Tazama Video | Download Music Audio: Deborah Mkonya - Kwa Nguvu za Mungu