Music

Download Audio: Betty Barongo Feat Walter Chilambo – Nijenge

Shalom wapendwa katika Bwana! wimbo mpya uitwao Nijenge kutoka kwa mwanadada Betty Barongo akiwa amemshirikisha muimbaji mahiri anayefahamika kwa jina la Walter Chilambo tayari tumekusogezea kwenye blog yako pendwa ya gospomedia.com wimbo huu umetayarishwa na prodyuza Crisocrix na video ikiwa imeongozwa na director Crix na Yoel Mrisho kutoka studio ya Key Arts Film wakishirikakana na Love Production.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo wa upendo kupakua wimbo huu ili uweze kusikiliza na kubarikiwa pia tumekuwekea link ya video ya wimbo huu uweze kutazama na uzidi kubarikiwa. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Betty Barongo kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 768 803 740
Facebook: Betty Barongo
Instagram: @bettybarongo
Youtube: Betty Barongo

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram > @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Tazama Video | Download Audio: Laura Abios - You Do Well

Next post

Download Audio: Trinah - Too Good