Nyimbo

Audio: Nelson Marko – Mapenzi Ya Mungu.

Kutoka jijini Dar es salaam leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia tumekusogezea wimbo mpya uitwao Mapenzi ya Mungu kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Nelson Marko.

Wimbo huu umetayaarishwa ndani ya studio za Nano Beats ukiwa ni wimbo wa kwanza kutoka kwenye album yake mpya iitwayo Ahsante Yesu, Albamu hii ina mkusanyiko wa nyimbo nane ambazo amethibitisha kuwa ni nyimbo ambazo zimebeba utukufu wa jumbe mbalimbali za Mungu ambazo ni hakika na bayana zitakwenda kumgusa kila mmoja atakayeweza kuipata nakala ya albamu hiyo na kuwafanya kuwa karibu na uwepo wa Mungu zaidi.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu hapa na hakika utakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi ya jinsi ya kuipata nakala ya album yake na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Nelson Marko kupitia:
Simu namba/WhatsApp: +255 652 652 437, +255 754 803 652
Facebook: Nelson Marko
Instagram: @nelsonmarko

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Audio: Palmira - Glorious in my Eyes

Next post

Download Music Audio: Glady Mwaihojo - Nataka Nikuone