Audio

Audio Music: Yvonne – Miracle

Mwimbaji na mwandishi mahiri wa nyimbo za Injili kutoka nchini Nigeria akifahamika kwa jina la Yvonne ameachia wimbo wake uitwao Miracle (Muujiza), wimbo ukiwa umetayaarishwa na prodyuza mahiri anayefahamika kwa jina la Kassamoni Kofi wa nchini nigeria.

Je! unahitaji muujiza?  mwite Yesu yeye ndiye anayeweza kufanya miujiza katika maisha yako ikiwa utamuamini na kumruhusu. Miujiza yake ni ya kweli! (Mathayo 19:26).

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki sana. Karibu!!

 

Download Audio

Social Media
Facebook | Instagram | Twitter: Yvonnes Diary

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Music Audio: Isioma - Only You

Next post

Video Music | Audio Music: PV Idemudia - Asante