Audio

Audio Music: Voke – We Are Human

Mshindi wa mashindano ya uimbaji yanayofahamika kama Destiny Child Gospel Music Talent Hunt katika msimu tatu, mwimbaji Voke Songz ameachia wimbo wake mpya uitwao ”We are Humans”. wimbo ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Xtasy Records.

Na huu ni ujumbe ulio katika wimbo huu “Tunaishi katika kipindi ambacho kuna aina mbalimbali za matukio ya kutisha yanayotokea kila siku. Watu wengi wana njaa, wengine hawana makazi kutokana na majanga ya asili, na wengi wao wamepoteza tumaini la kuishi.

“Hatuwezi kubadili matukio ulimwenguni lakini tunaweza kuwa Bawa la kumsaidia mtu kuruka na kupata tumaini jipya hasa tunapoonyesha tendo kidogo la wema. Sisi sote tumeunganishwa na watu duniani kote. Tuna moyo, na ndani ya moyo huo ni sehemu ambayo inapenda asili. Sisi si robots(mashine). Sisi ni Binadamu. ” – Alimailiza mwimbaji Voke Songz.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza wimbo huu uliobeba ujumbe wa matumaini na hakika utabarikiwa sana.

Download Audio

Voke Songz Social Media
Facebook:Voke Songz
Instagram:@vokesongz
Twitter: @voke_songz

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Video Music | Audio Music: Emmanuel Macharia - Wewe Ni Mungu

Next post

Audio Music: Kenny Rich - Njaa Kali