Music

Audio Music: Tmeshoflife – Follo

Kutoka nchini nigeria leo nimekuletea wimbo uitwao Follo kutoka kwa mwimbaji na mwandishi mahiri wa nyimbo za Injili nchini nigeria akifahamika kwa jina la Tmeshoflife au unaweza kumwita Ginger- Eke Toochukwu wimbo ukiwa umetengenezwa na prodyuza anayefahamika kwa jina la Tlife.

‘Follo’ ni wimbo uliojaa shukrani na upendo kwa Mungu kwa upendo wake usio na masharti wala kikomo wa katika safari ya maisha ya maisha yetu. karibu usikilize, upakue na ubarikiwe.

Download Audio

Social Media
Twitter | Instagram: @tmeshoflife

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Mimi ni Ladslaus Milanzi mwanzilishi na muasisi wa mtandao bora wa habari za kikristo, maarifa na burudani za muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya Tanzania. Naamini nimebeba kusudi la kumtumikia Mungu na jamii kupitia chombo hiki ambacho kwa hakika kinazidi kuwa baraka kwa waimbaji, wachungaji, watu binafsi, makanisa na taasisi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumia chombo hiki kupata taarifa, kujifunza na kujitangaza. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Official Audio Music: Rhoda Itenya - Funguka

Next post

Elly Joh: Tarehe 8 Oct 2017 ndio siku pekee Nitakayoachia pumzi yangu rasmi