Music

Audio Music: Maya – I Know Who I am

Anaitwa Lawal Morayo maarufu kama Maya mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini nigeria ameachia wimbo wake uitwao I Know Who I am ukiwa umetayaarishwa na prodyuza anayefahamika kwa jina la Sola Soetan.

MAYA ni mwimbaji mzuri wa muziki wa Injili huku akitumia kipaji chake kupitisha ujumbe mzuri wa ki Mungu na kuwatia watu matumaini na hakika amekuwa baraka kwa watu wengine ndani na nje ya Afrika.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki siku ya leo.

Download Audio

Social Media
Facebook: Maya Lawal | Instagram: @mayalawal |

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Audio Music: Judith Kanayo - Satisfied

Next post

Audio Music: Kenny Polz - Anafanya