Audio

Audio Music: Hezekiah Rubete – Ushukuriwe

Kutoka mjini kagera leo nimekuletea wimbo uitwao Ushukuriwe kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayejulikana kwa jina la Hezekiah Rubete, wimbo huu umetayaarishwa ndani ya studio za Kingdom.

Akiongea na gospomedia.com mwimbaji Hezekia Rubete amesema kuwa Ushukuriwe ni wimbo aliouachia kwa lengo la kumtolea Mungu Shukrani kwa yale mapito magumu aliyoyapitia na sasa anamshukuru Mungu na anadhihirisha ukuu wa Mungu uliofanyika katika maisha yake.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki.

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko wasiliana na mwimbaji Hezekiah Rubete kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 765 890 318
Facebook: Hezekiah Rubete
Instagram: @hezekiahrubete
Youtube: Hezekiah Rubete

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Music Audio: Richard Petro - Hashindwi

Next post

Music Video | Music Audio: Neema K - Wewe ni Mungu